Lake ni kivumishi kimikishi cha kuonyensha kitu fulani kinamilikiwa naye.
Wingi wa lake
Lake ni kivumishi kimilikishi katika ngeli ya LI – YA. Kwa hivyo huchukua muundo wa Li- katika umoja na Ya- katika wingi.
Wingi wa lake ni yake au yao.
Umoja wa lake
Umoja wa lake ni lake.
Mifano ya umoja na wingi wa lake katika sentensi
- Shati lake limeraruka. (Mashati yao/yake yameraruka.)
- Gari lake linapendenza. (Mgari yao/yake yanapendenza.)
- Lori lake limeharibika. (Malori yao/yake yameharibika.)
- Tunda lake ni tamu. (matunda yake/yao ni matamu.)