Zambarau in English

Posted by:

|

On:

|

Zambarau ni nini? – Maana ya zambarau katika Kiswahili

Neno zambarau katika Kiswahili lina maana mbili:

1. Zambarau ni tunda la mzambarau, dogo kama fuu au peremende lenye rangi ya kijani liwapo bichi na nyeusinyeusi linapoiva, huwa laini na huliwa.

2. Zambarau ni rangi inayochanganya rangi nyekundu na buluu.

Zambarau in English

Neno la Kiswahili zambarau linaweza kutafsiriwa kwa Kiingereza kwa njia mbili:

1. Jambul – Zambarau in English linaweza kutafsiriwa kama Jambul. Ufafanuzi wake katika Kiingereza ni:

“is an evergreen tropical tree in the flowering plant family Myrtaceae, and favored for its fruit, timber, and ornamental value.”

Jambul is also known as Malabar plum, Java plum, black plum, jamun, jaman, jambul, or jambolana.

2. Purple – Zambarau in English is also known as purple color.

Rangi ya zambarau
Photo by Nick Collins on Pexels.com

Purple in Kiswahili

Purple color in Kiswahili is known as zambarau.

Comments are closed.