Maana ta neno amplifaya na English translation

Posted by:

|

On:

|

Maana ya neno amplifaya

Matamshi: /amplifaja/

(Nomino katika ngeli ya [i-zi])

Maana: kifaa cha elektroniki chenye kupaza au kuvumisha sauti.

Amplifaya Katika Kiingereza (English translation)

Amplifaya katika Kiingereza ni: Amplifier.