Maana ya neno aa! na English Translation

Posted by:

|

On:

|

Maana ya neno aa!

Aa! ni kihisishi

1. Ni neno linalotumika kuonyesha kuto- ridhika.

2. Neno la kuonyesha uchungu.

Mfano: Aa! Nimeumia.

3. Neno la kuonyesha kukataa.

4. Ni neno la kuonyesha mshangao, furaha au kukubali.

Kisawe cha aa! ni ahaa!

Aa! Katika Kiingereza ( English Translation)

Aa katika Kiingereza ni oh!