Maana ya neno aa!
Aa! ni kihisishi
1. Ni neno linalotumika kuonyesha kuto- ridhika.
2. Neno la kuonyesha uchungu.
Mfano: Aa! Nimeumia.
3. Neno la kuonyesha kukataa.
4. Ni neno la kuonyesha mshangao, furaha au kukubali.
Kisawe cha aa! ni ahaa!
Aa! Katika Kiingereza ( English Translation)
Aa katika Kiingereza ni oh!