Maana ya neno aali
Aali ni kivumishi, ina maana ya hali ya juu.
Visawe vya aali ni: aula, bora, adhimu.
Mfano: Almasi ni madini aali.
Aali Katika Kiingereza (English translation)
Aali katika Kiingereza ni: excellent, noble, high, exalted.
Haya ni maneno ya siku ya kuzaliwa unayoweza kumtumia mkewe kama SMS: SMS za siku…
Hapa kuna ujumbe wa kumtakia rafiki yako siku njema ya kuzaliwa: Meseji za happy birthday…
Zodiac ni Nini? Zodiac ni sehemu ya anga inayozunguka Dunia. Ina upana wa takriban digrii…
Kama mpenzi wako hayuko karibu nawe na umemkosa sana hapa tuna baadhi ya meseji nzuri…