Maana ya neno abaa!
(Kihisishi) neno linalojenga usikivu wa yule unayemwita. Visawe ni: aisee, halo, oha.
Abaa! Katika Kiingereza (English translation)
Abaa! katika kiingereza linaweza tafsiriwa kama “Hey!”
Kupendwa ni kitu kizuri sana. Kuwa na mwanamke anayekupenda ni ajabu. Aina bora ya uhusiano…
Maana ya neno amu Matamshi: /amu/ (Nomino katika ngeli ya [a-wa]) Maana: ndugu wa baba.…
Maana ya neno amsha Matamshi: /amsha/ (Kitenzi elekezi) Maana: 1. fanya mtu ashtuke na kufumbua…
Maana ya neno amriwa Matamshi: /amriwa/ (Kitenzi si elekezi) 1. shurutishwa 2. tendewa uamuzi. Amriwa…