Maana ya neno abdi
(Nomino katika ngeli ya [a-/wa-]) (ush) mlimwengu, mja wa Mwenyezi Mungu.
Kisawe chake ni abidi.
Abdi Katika Kiingereza (English translation)
Abdi katika Kiingereza ni: Worshipper, servant of God.
Haya ni maneno ya siku ya kuzaliwa unayoweza kumtumia mkewe kama SMS: SMS za siku…
Hapa kuna ujumbe wa kumtakia rafiki yako siku njema ya kuzaliwa: Meseji za happy birthday…
Zodiac ni Nini? Zodiac ni sehemu ya anga inayozunguka Dunia. Ina upana wa takriban digrii…
Kama mpenzi wako hayuko karibu nawe na umemkosa sana hapa tuna baadhi ya meseji nzuri…