Maana ya neno abiria
(Nomino katika ngeli ya [a-/wa-]), mtu anayetoka mahali fulani na kwenda pengine kwa kutumia chombo k.m. basi, treni n.k. na ambaye si mfanyakazi wa chombo hicho.
Abiria Katika Kiingereza (English translation)
Abiria katika Kiingereza ni: Passenger.