Maana ya neno abunuwasi na English translation

Maana ya neno abunuwasi

(Abunuwasi ni nomino katika ngeli ya [a-/wa-]), mhusika mkuu ambaye ni mjanja sana katika hekaya za kale k.m. katika “Hekaya za Abunuwasi.”

Abunuwasi Katika Kiingereza (English translation)

Abunuwasi katika Kiingereza ni: “trickster” or a “schemer.”

Related Posts