Maana ya neno abwe! na English translation

Maana ya neno abwe!

(Kihisishi), Abwe ni tamko la kushangaa kwa namna ya kudharau. Kisawe chake ni ebo!

Abwe! Katika Kiingereza (English translation)

Abwe! katika Kiingereza ni: Wow!

Related Posts