Maana ya neno abyadhi na English translation

Maana ya neno abyadhi

1. (Nomino katika ngeli ya [i-/zi-]), abyadhi ni karata isiyokuwa na alama yoyote inayotumika katika mchezo wa dhumna.

2. (Kivumishi)-enye rangi nyeupe. Kisawe chake ni -eupe.

Abyadhi Katika Kiingereza (English translation)

Abyadhi katika Kiingereza ni:

1. A playing blank card.

2. White.

Related Posts