Maana ya neno acha! na English translation

Maana ya neno acha!

(Kihisishi), neno linalotumiwa kuonyesha mshangao.

Mfano: Acha wee! Ni kweli usemayo?

Acha! Katika Kiingereza (English translation)

Acha! Katika Kiingereza ni: Wow!

Related Posts