Maana ya neno achish.a
(Kitenzi <ele>), simamisha shughuli au tendo fulani lisiendelee.
Mfano: Mkurugenzi amemwachisha kazi karani mkuu.
Achish.a Katika Kiingereza (English translation)
Achish.a katika Kiingereza ni: To stop, cease.
Kupendwa ni kitu kizuri sana. Kuwa na mwanamke anayekupenda ni ajabu. Aina bora ya uhusiano…
Maana ya neno amu Matamshi: /amu/ (Nomino katika ngeli ya [a-wa]) Maana: ndugu wa baba.…
Maana ya neno amsha Matamshi: /amsha/ (Kitenzi elekezi) Maana: 1. fanya mtu ashtuke na kufumbua…
Maana ya neno amriwa Matamshi: /amriwa/ (Kitenzi si elekezi) 1. shurutishwa 2. tendewa uamuzi. Amriwa…