Maana ya neno adaa
(Nomino katika ngeli ya [i-/zi-]), ulazima unaompasa mtu kuutenda kwa mujibu wa kanuni za dini k.m. kuswali, kufunga na kutoa zaka.
Adaa Katika Kiingereza (English translation)
Adaa katika Kiingereza ni: Prayer, fast.
Haya ni maneno ya siku ya kuzaliwa unayoweza kumtumia mkewe kama SMS: SMS za siku…
Hapa kuna ujumbe wa kumtakia rafiki yako siku njema ya kuzaliwa: Meseji za happy birthday…
Zodiac ni Nini? Zodiac ni sehemu ya anga inayozunguka Dunia. Ina upana wa takriban digrii…
Kama mpenzi wako hayuko karibu nawe na umemkosa sana hapa tuna baadhi ya meseji nzuri…