Maana ya neno adamu
(Nomino, ngeli ya [a-]) (dini) mtu wa kwanza kuumbwa na Mungu.
Adamu Katika Kiingereza (English translation)
Adamu katika Kiingereza ni: Adam.
Kupendwa ni kitu kizuri sana. Kuwa na mwanamke anayekupenda ni ajabu. Aina bora ya uhusiano…
Maana ya neno amu Matamshi: /amu/ (Nomino katika ngeli ya [a-wa]) Maana: ndugu wa baba.…
Maana ya neno amsha Matamshi: /amsha/ (Kitenzi elekezi) Maana: 1. fanya mtu ashtuke na kufumbua…
Maana ya neno amriwa Matamshi: /amriwa/ (Kitenzi si elekezi) 1. shurutishwa 2. tendewa uamuzi. Amriwa…