Maana ya neno adhama
Matamshi: /aðama/
(Nomino katika ngeli ya [i-zi]).
Maana: Hadhi kuu au jambo la utukufu.
Mfano: Ni adhama iliyoje kutembelewa na rais wa nchi nyumbani kwako?
Adhama Katika Kiingereza (English translation)
Adhama katika Kiingereza ni: grandeur, majesty, glory, honor, exaltation.