Maana ya neno adhifari
Matamshi: /aðifari/
(Nomino katika ngeli ya [i-zi]) Maana: uvundo au harufu mbaya inayotolewa kwapani au kutokana na jasho la mtu.
Adhifari Katika Kiingereza (English translation)
Adhifari katika Kiingereza ni: body odor, bad smell