Deprecated: Return type of AdvancedAds\Abstracts\Data::offsetGet($offset) should either be compatible with ArrayAccess::offsetGet(mixed $offset): mixed, or the #[\ReturnTypeWillChange] attribute should be used to temporarily suppress the notice in /home/ikrstymy/public_html/wp-content/plugins/advanced-ads/includes/abstracts/abstract-data.php on line 431
Maana ya neno adhifari na English translation - Mhariri

Maana ya neno adhifari na English translation

Maana ya neno adhifari

Matamshi: /aðifari/

(Nomino katika ngeli ya [i-zi])  Maana: uvundo au harufu mbaya inayotolewa kwapani au kutokana na jasho la mtu.

Adhifari Katika Kiingereza (English translation)

Adhifari katika Kiingereza ni: body odor, bad smell

Related Posts