Maana ya neno adhimu
Matamshi: /aðimu/
(Kivumishi)
Maana:
1. yenye sifa kuu au iliyotukuka. Kisawe chake ni: aali.
2. -liokithirika: -ingi sana au kupindukia.
Adhimu Katika Kiingereza (English translation)
Adhimu katika Kiingereza inategemea maana unayokusudia:
1. Adhimu (yenye sifa kuu) ni: noble, majesty, great, magnificent.
2. Adhimu (-liokithirika) ni: significant, excessive, too much.