Maana ya neno adhini na English translation

Maana ya neno adhini

Matamshi: /aðini/

(Kitenzi si elekezi)

Maana :

1. ita au tangazia waumini wa Kiislamu kwa sauti kubwa waende ibadani.

2. fanya adhana wakati tofauti na ule wa kawaida. Mnyambuliko wake ni: adhinia, adhinika, adhinisha, adhiniwa.

Adhini Katika Kiingereza (English translation)

Adhini katika Kiingereza ni: adhan, call by the Muadhin, a Muslim call to public prayer.

Related Posts