Maana ya neno adibu
Maana ya neno adibu
Matamshi: /adibu/
Maana:
1. (Kitenzi elekezi) fundisha, hasa watoto, nyendo bora au desturi au tabia njema za maisha.
2. (Kivumishi) -enye mwenendo au tabia nzuri.
Adibu Katika Kiingereza (English translation)
Adibu katika Kiingereza inategemea maana unayokusudia:
1. Adibu (fundisha tabia bora) ni: educate, train, etc
2. Adibu (tabia nzuri) ni: -having good conduct or behavior.