Maana ya neno adidi na English translation

Maana ya neno adidi

Matamshi: /adidi/

(Kitenzi si elekezi)

Maana:

1. andaa au tayarisha kitu au jambo fulani.

2. hesabu kwa lengo la kujua idadi.

Mnyambuliko wa adidi ni: → adidia, adidiana, adidika, adidisha, adidiwa.

Adidi Katika Kiingereza (English translation)

Adidi katika Kiingereza inategemea maana unayokusudia:

1. Adidi (tayarisha kitu) ni: prepare, make ready

2. Adidi (hesabu) ni: count.

Related Posts