Maana ya neno -adilifu
Matamshi: /adilifu/
(Kivumishi)
Maana: sifa ya utendaji wema na haki bila mapendeleo yoyote.
-adilifu Katika Kiingereza (English translation)
-adilifu katika Kiingereza ni: just, fair, righteous
Haya ni maneno ya siku ya kuzaliwa unayoweza kumtumia mkewe kama SMS: SMS za siku…
Hapa kuna ujumbe wa kumtakia rafiki yako siku njema ya kuzaliwa: Meseji za happy birthday…
Zodiac ni Nini? Zodiac ni sehemu ya anga inayozunguka Dunia. Ina upana wa takriban digrii…
Kama mpenzi wako hayuko karibu nawe na umemkosa sana hapa tuna baadhi ya meseji nzuri…