Maana ya neno adona
Matamshi: /adɔna/
(Nomino katika ngeli ya [a-wa])
Maana: jina la kitukufu la Mwenyezi Mungu.
Adona Katika Kiingereza (English translation)
Adona katika Kiingereza ni: a title of honor for God e.g Yahweh.
Haya ni maneno ya siku ya kuzaliwa unayoweza kumtumia mkewe kama SMS: SMS za siku…
Hapa kuna ujumbe wa kumtakia rafiki yako siku njema ya kuzaliwa: Meseji za happy birthday…
Zodiac ni Nini? Zodiac ni sehemu ya anga inayozunguka Dunia. Ina upana wa takriban digrii…
Kama mpenzi wako hayuko karibu nawe na umemkosa sana hapa tuna baadhi ya meseji nzuri…