Deprecated: Return type of AdvancedAds\Abstracts\Data::offsetGet($offset) should either be compatible with ArrayAccess::offsetGet(mixed $offset): mixed, or the #[\ReturnTypeWillChange] attribute should be used to temporarily suppress the notice in /home/ikrstymy/public_html/wp-content/plugins/advanced-ads/includes/abstracts/abstract-data.php on line 431
Maana ya neno adua na English translation - Mhariri

Maana ya neno adua na English translation

Maana ya neno adua

Matamshi: /adua/

(Kitenzi elekezi)

Maana:

1. tendo la kutoa kafara kwa mizimu.

2. andalia hirizi ikukinge au iondoe husuda au kijicho.

Mnyambuliko wa adua ni: → aduana, aduka, adulia, aduliwa, adulisha.

Adua Karika Kiingereza (English translation)

Adua katika Kiingereza ni: to sacrifice, to offer a libation.

Related Posts