Deprecated: Return type of AdvancedAds\Abstracts\Data::offsetGet($offset) should either be compatible with ArrayAccess::offsetGet(mixed $offset): mixed, or the #[\ReturnTypeWillChange] attribute should be used to temporarily suppress the notice in /home/ikrstymy/public_html/wp-content/plugins/advanced-ads/includes/abstracts/abstract-data.php on line 431
Maana ya neno adui na English translation - Mhariri

Maana ya neno adui na English translation

Maana ya neno adui

Matamshi: /adui/

Nomino katika ngeli ya [a-wa])

Maana:

1. mtu au mnyama anayefanya mabaya au maovu dhidi ya wengine.

2. hali au kitu kinachosababisha madhara kwa binadamu au kiumbe

3. mpinzani au mshindani katika mchezo fulani kama vile katika kandanda.

(Methali) Adui mpende: Usimchukie adui au kumwekea kinyongo bali mwonyeshe wema.

Adui Katika Kiingereza (English translation)

Adui katika Kiingereza ni: enemy, foe, opponent.

Related Posts