Maana ya neno afadhali
Matamshi: /afaðali/
Afadhali 1
(Nomino katika ngeli ya [i-zi])
1. nafuu anayosikia mtu baada ya kuugua ugonjwa . Visawe vyake ni: afueni, ahueni.
2. bora zaidi. Kisawe chake ni aula. Mfano: Baada ya kutibiwa hospitalini, sasa Hamisi anajisikia afadhali.)
Afadhali 2
(Kielezi)
Maana: -enye hali nzuri au bora zaidi kuliko -ingine.
Afadhali Katika Kiingereza (English translation)
Afadhali katika kiingereza ni: better, good, preferable, etc.