Maana ya neno afiki
Matamshi: /afiki/
(Kitenzi elekezi) pia wafiki
Maana:
1. kubalia wazo, hoja au fikra fulani.
Mfano: Mwalimu mkuu bado hajaafiki ombi la wazazi.
2. patana au elewana na mtu.
3. kufikia msawazisho, mlingano au usawa katika hoja, fikra au wazo fulani.
Mnyambuliko wa afiki ni: → afikia, afikiana, afikika, afikisha, afikiwa.
Afiki Katika Kiingereza (English translation)
Afiki katika Kiingereza ni: to agree, to concur.