Maana ya neno afisa na English translation

Posted by:

|

On:

|

Maana ya neno afisa

Matamshi: /afisa/

Nomino katika ngeli ya [a-wa])

Maana:

1. mtu anayekabidhiwa cheo kazini.

Mfano: Siku hizi anachelewa kurudi nyumbani kwa sababu amekuwa afisa.

2. mtu mwenye madaraka ya upolisi, idara ya uhamiaji au forodha.

Afisa Katika Kiingereza (English translation)

Afisa katika Kiingereza ni: officer, official.