Maana ya neno Afrika
Matamshi: /afrika/
(Nomino katika ngeli ya [i-])
Maana: bara lenye mataifa ya Kiafrika na watu weusi linalozungukwa na bahari nne.
Afrika Katika Kiingereza (English translation)
Afrika katika Kiingereza ni: Africa.
Kupendwa ni kitu kizuri sana. Kuwa na mwanamke anayekupenda ni ajabu. Aina bora ya uhusiano…
Maana ya neno amu Matamshi: /amu/ (Nomino katika ngeli ya [a-wa]) Maana: ndugu wa baba.…
Maana ya neno amsha Matamshi: /amsha/ (Kitenzi elekezi) Maana: 1. fanya mtu ashtuke na kufumbua…
Maana ya neno amriwa Matamshi: /amriwa/ (Kitenzi si elekezi) 1. shurutishwa 2. tendewa uamuzi. Amriwa…