Maana ya neno afro
Matamshi: /afrɔ/
Nomino katika ngeli ya [i-zi]) Maana: mtindo wa kuacha nywele ziwe ndefu na zikichanwa zinafanya duara kichwani.
Afro Katika Kiingereza (English translation)
Afro katika Kiingereza ni: Afro hairstyle.
Haya ni maneno ya siku ya kuzaliwa unayoweza kumtumia mkewe kama SMS: SMS za siku…
Hapa kuna ujumbe wa kumtakia rafiki yako siku njema ya kuzaliwa: Meseji za happy birthday…
Zodiac ni Nini? Zodiac ni sehemu ya anga inayozunguka Dunia. Ina upana wa takriban digrii…
Kama mpenzi wako hayuko karibu nawe na umemkosa sana hapa tuna baadhi ya meseji nzuri…