Maana ya neno agaa na English translation

Maana ya neno agaa

Matamshi: /aga:/

(Kitenzi si elekezi )

Maana:

1. ponyoka au teleza.

2. mwagika.

Mnyambuliko wake ni: → agalia, agalika, agalisha.

Agaa Katika Kiingereza (English translation)

Agaa katika Kiingereza ni: to slip, to slide, spill etc.

Related Posts