Maana ya neno Agano la Kale na English translation

Maana ya neno Agano la Kale

Matamshi: /aganɔ la kalɛ/

(Nomino katika ngeli ya [li-]) Maana: sehemu ya kwanza ya vitabu vilivyo katika Biblia na iliyo na vitabu 39 kwa Waprotestanti na 46 kwa Wakatoliki. Inahusu sana mahusiano ya Mungu na Wayahudi.

Agano la Kale Katika Kiingereza (English translation)

Agano la kale katika Kiingereza ni: Old Testament.

Related Posts