Maana ya neno agano na English translation

Maana ya neno agano

Matamshi: /aganɔ/

(Nomino katika ngeli ya [li-ya])

Wingi wa agano ni maagano.

Maana: ahadi au ufikiaji makubaliano. Kisawe chake ni mapatano.

Agano Katika Kiingereza (English translation)

Agano katika Kiingereza ni: covenant, agreement.

Related Posts