Maana ya neno agiza
Matamshi: /agiza/
(Kitenzi elekezi)
Maana:
1. amuru mtu kufanya jambo.
2. omba, taka au shawishi mtu akuletee kitu kutoka mahali fulani.
Mfano: Makhulo aliagiza bidhaa nyingi dukani.
Mnyambuliko wake ni: agizana, agizia, agiziana, agizika, agizwa.
Agiza Katika Kiingereza (English translation)
Agiza katika Kiingereza ni: to order, to command.