Maana ya neno ahueni na English translation

Maana ya neno ahueni

Matamshi: /ahuɛni/

(Nomino katika ngeli ya [i-])

Maana: afadhali au nafuu anayohisi mgonjwa baada ya kuugua au kupatwa na shida fulani.

Ahueni Katika Kiingereza (English translation)

Ahueni katika Kiingereza ni: relief, comfort, recovery.

Related Posts