Maana ya neno aibu na English translation

Maana ya neno aibu

Matamshi: /aibu /

(Nomino katika ngeli ya [i-zi])

1. jambo au tukio la kumvunjia mtu heshima kutokana na matendo yake.

2. hali ya uoga fulani mbele ya watu. Visawe vyake ni: haya, fedheha, soni.

Mnyambuliko wa neno aibu → aibishana, aibishia, aibishika, aibishiwa, aibishwa.

Aibu Katika Kiingereza (English translation)

Aibu katika Kiingereza ni: shame, embarrassment.

Related Posts