Maana ya neno aidha na English translation

Maana ya neno aidha

Matamshi: /aiða/

(Kivumishi)

Maana: neno litumikalo kuonyesha kuwa kuna nyongeza ya hoja au wazo. Visawe vyake ni: pia, tena, isitoshe, zaidi ya hayo, vilevile, kadhalika.

Aidha Katika Kiingereza (English translation)

Aidha katika Kiingereza ni: also, moreover, either, besides.

Related Posts