Maana ya neno aila na English translation

Maana ya neno aila

Matamshi: /aila/

(Nomino katika ngeli ya [i-])

Maana: jamaa, wanaohusiana kidamu au kutoka ukoo mmoja. Kisawe ni ahali.

Aila Katika Kiingereza (English translation)

Aila katika Kiingereza ni: family, relatives.

Related Posts