Maana ya neno ainisha na English translation

Maana ya neno ainisha

Matamshi: /ainisha/

(Kitenzi elekezi)

Maana: weka au panga katika mafungu mbalimbali yenye uhusiano.

Ainisha Katika Kiingereza (English translation)

Ainisha katika Kiingereza ni: classify, categorize.

Related Posts