Maana ya neno ajaa
Matamshi: /aja:/
(Nomino katika ngeli ya [i-zi])
Maana: kitu au jambo la kustaajabisha au kushangaza.
Ajaa Katika Kiingereza (English translation)
Ajaa katika Kiingereza ni: wonder, marvel, miracle.
Ndani ya uhusiano, kuna mambo kadhaa ambayo yanastahili kuzingatiwa na kupewa kipaumbele. Uhusiano sio tu…
Unaweza kuhisi hamu na tamaa kubwa kwa mtu unayempenda. Unaweza kumfikiria kila mara na kutamani…
Kupendwa ni kitu kizuri sana. Kuwa na mwanamke anayekupenda ni ajabu. Aina bora ya uhusiano…
Maana ya neno amu Matamshi: /amu/ (Nomino katika ngeli ya [a-wa]) Maana: ndugu wa baba.…