Maana ya neno ajabia na English translation

Posted by:

|

On:

|

Maana ya neno ajabia

Matamshi: /ajabia/

(Kitenzi elekezi)

Maana: staajabia kitu kisicho cha kawaida. Visawe vyake ni: pumbaa, tunduwaa, zugika.

Ajabia Katika Kiingereza (English translation)

Ajabia katika Kiingereza ni: wonder, amuse, marvel, be amazed, be astonished, etc.