Maana ya neno ajali na English translation

Maana ya neno ajali

Matamshi: /ajali/

(Nomino katika ngeli ya [i-zi])

Maana:

1. tukio litokealo ghafla na hasa lenye madhara. Visawe vyake ni: mkosi, nuksi, dege baya.

2. mauti au kifo.

Ajali Katika Kiingereza (English translation)

Ajali katika Kiingereza ni: accident, misfortune.

Related Posts