Maana ya neno ajari
Matamshi: /ajari/
(Nomino katika ngeli ya [i-zi])
Maana:
1. kazi ya nyongeza au inayopita saa zake za kumaliza kazi.
2. malipo ya muda wa ziada wa kufanya kazi.
Ajari Katika Kiingereza (English translation)
Ajari katika Kiingereza inategemea maana unayokusudia:
- Ajari ya kazi ya nyongeza ni: overtime work.
- Ajari ya malipo ya kufanya kazi muda wa ziada ni: overtime payment.