Deprecated: Return type of AdvancedAds\Abstracts\Data::offsetGet($offset) should either be compatible with ArrayAccess::offsetGet(mixed $offset): mixed, or the #[\ReturnTypeWillChange] attribute should be used to temporarily suppress the notice in /home/ikrstymy/public_html/wp-content/plugins/advanced-ads/includes/abstracts/abstract-data.php on line 431
Maana ya neno ajihi na English translation - Mhariri

Maana ya neno ajihi na English translation

Maana ya neno ajihi

Matamshi: /ajihi/

(Kitenzi elekezi)

Maana: funga ziara ya kumtembelea mtu anayeishi mbali nawe.

Mnyambuliko wake ni: → ajihia, ajihiana, ajihika, ajihisha, ajihiwa.

Ajihi Katika Kiingereza (English translation)

Ajihi katika Kiingereza ni: visit someone far away.

Related Posts