Maana ya neno ajira na English translation

Maana ya neno ajira

Matamshi: /ajira/

(Nomino katika ngeli ya [i-zi])

Maana: kazi ya malipo. Kisawe chake ni kibarua.

Mfano: Hamisi amepata ajira nzuri.

Ajira Katika Kiingereza (English translation)

Ajira katika Kiingereza ni: job, employment.

Related Posts