Maana ya neno ajuza
Matamshi: /ajuza/
(Nomino katika ngeli ya [a-wa])
Maana: mwanamke mzee sana. Kisawe chake ni bikizee.
Ajuza Katika Kiingereza (English translation)
Ajuza katika Kiingereza ni: Old woman, granny.
Haya ni maneno ya siku ya kuzaliwa unayoweza kumtumia mkewe kama SMS: SMS za siku…
Hapa kuna ujumbe wa kumtakia rafiki yako siku njema ya kuzaliwa: Meseji za happy birthday…
Zodiac ni Nini? Zodiac ni sehemu ya anga inayozunguka Dunia. Ina upana wa takriban digrii…
Kama mpenzi wako hayuko karibu nawe na umemkosa sana hapa tuna baadhi ya meseji nzuri…