Maana ya neno ajwadi na English translation

Maana ya neno ajwadi

Matamshi: /ajwadi/

Ajwadi 1

(Kivumishi)

Maana: pia ajuadi, sifa ya mtu aliye karimu au anayekirimu watu.

Ajwadi 2

(Kivumishi)

Maana: pia ajuadi,

1. maarufu sana.

2. iliyo bora sana.

Ajwadi Katika Kiingereza (English translation)

Ajwadi katika Kiingereza inategemea maana unayokusudia:

  • Ajawadi ya sifa ya mtu aliye karimu ni: Generous.
  • Ajawadi ya maarufu au bora sana ni: Very popular or very good.
Related Posts