Maana ya neno aka na English translation

Maana ya neno aka

Matamshi: /aka/

Aka 1

(Kitenzi elekezi)

Maana: pia waka,

1. jenga nyumba kwa kutumia mawe au matofali kwa saruji.

2. panua ua kwa seng’enge ya miti.

Aka! 2

(Kihisishi)

Maana:

1. neno au tamko la kukana au kukanusha jambo.

2. tamko la kuonyesha kutokubali kwa jambo. Kisawe chake ni kikanusho.

Aka katika Kiingereza (English translation)

Aka katika Kiingereza inategemea na maana unayokusudia:

  • Aka (jenga nyumba kwa kutumia mawe au matofali kwa saruji.) ni: Masonry or bricklaying.
  • Aka (panua ua kwa seng’enge ya miti.) ni: constructing a wire mesh fence.
  • Aka! (neno au tamko la kukana au kukanusha jambo.) ni: No, never, nothing, none etc.
  • Aka! (tamko la kuonyesha kutokubali kwa jambo.) ni: No, never, nothing, none etc.
Related Posts